Share

Afisa wa polisi apatikana amekufa Kiasuni Mombasa

Share this:

Hali ya usalama katika Kaunti ya Mombasa inazidi kudorora . Afisa mmoja wa polisi amepatikana akiwa amefariki nje ya eneo la burudani mjini Mombasa. Kulingana na OCPD wa Kisauni Julius kiragu Afisa huyo anasemekana kuonekana katika eneo Hilo Jana jioni kabla ya kuondoka na kurudi tena mapema leo. Chanzo cha kifo chake bado hakijabainika.

Leave a Comment