Share

Afisa wa polisi anauguza majeraha baada ya kupigwa mawe na wachuuzi Muthurwa

Share this:

Afisa wa polisi anauguza majeraha baada ya kupigwa mawe na wachuuzi waliozua fujo katika masoko ya Muthurwa na Marikiti hapa Nairobi. Wachuuzi waliandamana kulalamikia kutozwa ada za juu na serikali ya kaunti huku mazingira wanayotumia yakiwa duni. Baadhi yao wanatishia kuendelea na maandamano hadi pale shida zao zitakapoangaziwa.

Leave a Comment