Share

Afisa wa kike wa magereza auawa Murang’a

Share this:

Polisi wanachunguza kisa ambapo afisa mmoja katika gereza la Murang’a amepatikana amefariki nyumbani kwake mtaano Kiharu Kaunti ya Murang’a. Kwengineko, Biwi la simanzi limetanda na kilio cha haki kikitolewa wakati wa mazishi ya mtoto Ethan Muendo aliyefariki baada ya kudungwa sindano kupita kiasi katika hospitali iliyofungwa ya Shalom mjini Machakos.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment